RIDHIWANI USO KWA USO NA MTOTO AITWAYE KIKWETE

Add captionMjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM, Ridhiwani Kikwete akiwa na mtoto anayeitwa Kikwete Uhonde (5), aliyewaomba wazazi wake kwenda kumuona Ridhiwani baada ya kusikia kuwa ameingia mjini Songea jana. Mtoto huyo alipewa jina hilo na wauguzi wa Hospitali ya Serikali ya Tunduru, Ruvuma alipozaliwa wakati wa kampeni za urais mwaka 2005.Wengine pichani ni makada wa vijana alioambatana nao Ridhiwani katika ziara ya kampeni ya kuweka mikakati ya ushindi mkubwa kwa CCM..Kutoka kushoto ni Peter Haule, Mzee Kiwamba na Julius Kisusi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.