DK BILAL NDANI YA SINGIDA

Mohamed Gharib Bilal, akipokea Kadi ya Uanachama wa Chama cha CHADEMA kutoka kwa Willson Nkambaku, aliyekuwa ametimkia Chama hicho baada ya kushindwa katika mchakato wa kura za maoni za CCM na kuamua kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi kwa tiketi ya Chadema. Willson alikabidhi kadi hiyo na kukabidhiwa tena kadi yake ya awali ya CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Sepuka Wilaya ya Singida juzi Sept 17.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.