HELIKOPTA YATUA JUU YA HOTELI YA HOLIDAI INN DAR

Helikopta ikiwa imetua juu ya Hoteli ya Holiday Inn, Dar es Salaam leo, sehemu ambayo imetengenezwa maalum kwa ajili ya helikopta kutua kwa ajili ya kushusha na kupakia wateja kuwapeleka uwanja wa ndege na maeneo mbalimbali ya kitalii.Tukio hilo ambalo ni nadra kutokea Dar es Salaam liliwashangaza watu wengi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA