Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa,Ridhiwani Kikwete (kushoto), akiingia kutembelea jana, Shule ya Msingi Matangini iliyopo Nachingwea,Mkoa wa Lindi, aliyosoma darasa la kwanza mwaka 1987, wakati huo babake, Rais Jakaya Kikwete akiwa Katibu wa TANU wilayani humo. Wa pili kushoto ni Ofisa Idara ya Elimu Wilaya ya Naching, Masala.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI