Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete akifungua tawi la wakereketwa tawi la CCM la Soko la Azimiao mjini Tunduru, juzi.Kiongozi huyo wa UVCCM Taifa, ameongozana na makada wengine wa chama hicho, katika ziara  kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.