RADIO TIMES FM YAKABIDHI MSAADA WA NGOMA KIKUNDI CHA MAFIA

Mtangazaji wa Kituo cha Radio Times FM, Scola Mazula (kulia) akipiga ngoma muda mfupi kabla ya kumkabidhi Kiongozi wa kikundi cha ngoma za asili cha Mafia Youth Development, Maulid Chivihi (katikati) msaada wa ngoma hizo sita na fulana 20 kwa ajili ya kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika leo kwenye ofisi mpya za kituo hicho Kawe, Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa wanakikundi hicho, Moses William.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA