RAIS KARUME USO KWA USO NA MAALIM SEIF SIKU YA IDD

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Amani Abeid Karume,akibadilishana mawazo na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,pia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad,(kulia)baada ya kulihutubia Baraza la Idd el Fitri katika Viwanja vya Jumba la Wananchi Forodhani leo.(10/09/2010) Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.