Vijana wa kikundi cha sarakasi cha TASUBA wakionesha umahiri wa wa kucheza mchezo huo jana wakati Ujumbe kutoka Chama cha Sanaa na Fasihi cha nchini China ulipokabidhi msaada wa vifaa vya kufundishia mchezo wa Sarakasi vyenye thamani ya Dola za 11,764 za marekani kwa uongozi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA), mjini Bagamoyo jana. Picha zaidi uk. 23. (PICHA NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO)




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.