VIMBWANGA VYA KAMPENI ZA RIDHIWANI TUNDURU

Mkereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Said akidandia Lori huku akiwa akiwa amevaa mapango yenye picha za wagombea wa chama hicho,Diwani wa Tunduru mjini, ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini Injinia Ramo Makani na mgombea urais Jakaya Kikwete, juzi wakati Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) akihutubia mkutano wa kampeni mjini Tunduru.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*