VINARA WA VODACOM MISS TANZANIA 2010

Mshindi wa Vodacom Miss Tanzania 2010, Geneviva Mpangala (katikati) akiwa na washindi wenzie mara baada ya kutangazwa katika mashindano hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam juzi.Kulia ni mshindi wa tatu Consolata Msofe na mshindi wa pili Groly Mwanga.Geneviva anatokea Kanda ya Temeke.Picha zaidi uk. wa 23. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU