WAFANYAKAZI WA TANESCO WAJITIA KITANZI CHA UWAJIBIKAJI

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi William Mhando (kulia), akitia saini 'Mpango wa Upimaji Utendaji Kazi' baada ya mpango huo kukubaliwa na wafanyakazi wa shirika hilo, Dar es Salaam jana.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya mpango huo, Abdul Mkama na Meneja Mwandamizi Rasilimali Watu, Victoria Ilangwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*