JK NA KAWAWA WATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI



1..Chuo Kikuu Cha Dodoma Jana kiliwatunuku  Shahada ya Heshima ya Udaktari (Doctor Honoris Causa) Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Marehemu Mzee Rashid  Mfaume Kawawa kwa  kutambua michango yao mbalimbali katika Nyanja za siasa na sekta za elimu nchini ikiwemo kuasisi ujenzi wa Chuo hicho. Pichani Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimtunuku shahada ya Heshima ya Udaktari Rais Dr.Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo hicho iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma jana.Katikati ni Makamu mkuu wa Chuo Profesa Idriss Kikula.   (picha na Freddy Maro)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA