8785Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimkabidhi Cloudia Mpangala zana za kufanyia kazi baada ya kumwapisha kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Ikulu,Dar es Salaam jana.

012:- Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Juma Malemi, akifurahia wakati akikabidhiwa shada la maua na mtoto wake Hollo Simba, baada ya hafla ya kuwaapisha Manaibu Katibu Wakuu, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha Alphayo Kidata, Ikulu (nafasi moja) wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais





Baadhi ya Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye viwanja vya Ikulu Dar es Salaam jana, wakati wakisubiri kuapishwa rasmi kushika nyadhfa zao. Picha na Muhidin Sufiani- Ofisi ya Makamu wa Rais






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha John Thomas Mngodo, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.