ASHTON KUFUNGUA UBALOZI LIBYA

Ashton (pichani) kufungua ubalozi LibyaMkuu wa Idara ya Mashauri ya Nchi za Nje ya Umoja wa Ulaya, Catherine Ashton, anazuru eneo la Libya linalodhibitiwa na wapiganaji, kufungua ubalozi mjini Benghazi, mashariki mwa nchi.
Bi Ashton alisema hiyo ni ishara kuwa Umoja wa Ulaya unaunga mkono watu wa Libya.
Kabla ya Catherine Ashton kuwasili Benghazi, ndege za NATO zilifanya shambulio jengine dhidi ya maeneo ya serikali mjini Tripoli, pamoja na eneo la nyumba ya Kanali Gaddafi.
Katika mkutano Bi Ashton alizungumuzia ufadhili katika kudhibiti mipaka, mageuzi ya miundombinu ya usalama, na mahitaji ya kuimarisha uchumi, afya na elimu pamoja na maslahi ya raia wa nchi hiyo.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.