Baadhi ya Waalimu wakishiri katika maandamo kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Morogoro

Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakipita jukwaa Kuu huku wakishangilia na kufurahia, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam na kuhudhuliwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki. Sherehe hizo zilifanyika kitaifa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais Jakaya kikwete. (PICHA NA MUHIDIN SUFIANI-VPO)




Mfanyakazi bora wa Mamlaka ya Chakula na dawa (TFDA), Silvin Sulle (kushoto), akipokea cheti pamoja na hundi ya shilingi milioni moja kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, 'Mei Dei', Dar es Salaam




Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, wakati wa maadhimisho hayo.







Gari lililobeba wafanyazi wa kiwanda cha mafuta ya kula cha East Coast, waliobeba bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho, likipita kwenye maandamano hayo, Dar es Salaam









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.