BREAKING NEWS SHEIKH YAHYA AFARIKI DUNIA

MTABIRI maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amefariki Dunia leo asubuhi.

Kwa mujibu wa Mwanawe mkubwa Hassan Hussein, amesema babake ambaye alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo amefariki saa 4.30 asubuhi alipokuwa akikimbizwa Hospitali ya Mount Mkombozi, Kinondoni,, Dar es Salaam.

Shuguli za kuaga mwili wa marehemu zitaanza kesho saa nne asubuhi nyumbani kwake Mwembe Chai, Magomeni, Dar es Salaam na maziko yatafanyika aidha katika makaburi ya Kisutu ama Tambaza jijini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.