CAG AFANYA MKUTANO NA WAKAGUZI WA NJE



Wajumbe wa mkutano wa Kamati ya Uendeshaji wa miradi ya maendeleo ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAODP) kutoka Tanzania na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi nchini Sweden (SNAO) wakiwa pamoja baada ya mkutano huo kumalizika jana jijini Dar es salaam. Lengo la mkutano huo ni kutathmini utekelezaji wake kwa kipindi kuanzia Julai 2010 hadi Desemba 2010.






Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (katikati) akitoa ufafanuzi juu ya hatua za utekelezaji wa miradi mbalimbali wakati wa mkutano wa Kamati ya Uendeshaji wa miradi ya maendeleo ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAODP) katika kipindi cha kuanzia Julai 2010 hadi Desemba 2010 uliofanyika jana jijini Dar es salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ya Sweden (SNAO) Anders Hjertstrand (kulia) na Mratibu wa Miradi kutoka SNAO, Magunus Gindal.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.