DK BILAL AMZIKA SHEIKH YAHYA

Baadhi ya wanafunzi waliofundishwa na Marehemu Sheikh Yahya, wakiwa kwenye shughuli za mazishi nyumbani kwa marehemu Magomeni Mwembechai leo Mei 21. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali mjane wa marehemu Sheikh Yahya, Kate Yahya, wakati alipofika nyumbani kwake Magomeni Mwembechai leo Mei 21 kuhudhuria shughuli za mazishi. Picha na Muhidin Sufiani-OMR



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki (kulia) pamoja na baadhi ya viongozi, wakiwa kwenye shughuli ya mazishi wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, Sheikh Yahya, aliyefariki dunia jana jijini na anatarajia kuzikwa leo kwenye makaburi ya Tambaza. Picha na Muhidin Sufiani-OMR




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI