FFU WAWASAMBARATISHA WANAFUNZI KWA MABOMU TOSAMAGANGA

Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU),wakiwaweka chini ya ulinzi wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tosamaganga waliotaka kuandamana jana kwenda kutoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, wakidai wamechoshwa na uongozi mbaya wa shule hiyo. Tukio hili lilikuwa kabla ya FFU kuanza kuwapiga mabomu ya machozi.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tosamaganga wakinyoosha mikono kuomba wasipigwe mabomu ya machozi walipokuwa wakiandamana kwenda kutoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, wakidai wamechoshwa na uongozi mbaya wa shule hiyo. (PICHA ZOTE NA BLOGU YA FRANCIS GODWIN)



Wanafunzi wakiandamana kutoka shuleni kwao kabla ya kutawanywa kwa mabomu ya machozi





Wanafunzi wa Sekondari ya Tosamaganga wakikimbia moshi wa mabomu yaliyokuwa yakipigwa na polisi.







Sweta na viatu vya wanafunzi vilivyotelekezwa wakati wakikimbia mabomu









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI