JK ALIPOWASILI UGANDA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe Uganda tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni.Marais wengine waliowasili Kampala jana ni pamoja na Goodluck Jonathan wa Nigeria na,Robert Mugabe wa Zimbabwe,Viongozi wengine na wawakilishi wa marais walitarajiwa kuwasili baadaye kuhudhuria sherehe hizo.(picha na Freddy Maro)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI