JK AWAAPISHA MANAIBU MAKATIBU WAKUU

Katibu na Manaibu Makatibu Wakuu wapya wakiwa katika na Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia mbele), baada ya kuapishwa kushika nyadhifa hizo, Ikulu Dar es Salaam. Kulia kwa Rais ni Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal na kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha , John Ndunguru kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi katika hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu mmoja na Manaibu makatibu wakuu iliyofanyika, Ikulu, Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Mwamini Malemi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika hafla ya iliyofanyika, Ikulu, Dar es Salaam .

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimkabidhi Hab Mkwizu zana za kufanyia kazi baada ya kumwapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, katika hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu mmoja na Manaibu makatibu wakuu iliyofanyika, Ikulu, Dar es Salaam .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI