Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), Balozi Liberata Mulamula akimpa picha ya kuchora toka Burundi, Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk. Richard Sezibera alipomtembelea ofisini kwake Arusha,

Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA),Dk. William Shija (kulia) akiwa na Mbunge wa Viti Maalum, Al- Shayma Kwegyir (katikati) na Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah alipotembelea ofisi ndogo za Bunge, Dar es Salaam




Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA),Dk. William Shija (kulia) akiwa na Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah alipotembelea ofisi ndogo za Bunge, Dar es Salaam


Spika wa Bunge, Anne Makinda (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA), Dk. William Shija (katikati) ofisini kwake, Dar es Salaam. Kushoto ni Getrude Shija mke wa Shija.







Spika wa Bunge, Anna Makinda (kulia) akimsikiliza Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla akitoa maelezo kuhusu utendaji wa hospitali hiyo, alipoitembelea hospitali hiyo iliyopo Msasani, Dar es Salaam.









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI