
stahiki Meya wa wilaya ya Temeke (kulia) Maabad Hoja akiingia katika ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi za manispaa ya Temeke kwa ajili ya kuanza kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika leo.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Eng.Gaston Gasama akijibu maswali ya madiwani wa wilaya hiyo wakati wa kikao cha baraza la madiwanikilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Maabad Hoja.PICHA ZOTE NA ANNA NKINDA-MAELEZO

Baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wa wilaya ya Temeke wakifuatilia kwa umakini majibu ya maswali yaliyokuwa yanajibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Eng.Gaston Gasama wakati wa kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke.
Comments