KUMRADHI WADAU WANGU



Uongozi wa Blogu hii ya kizalendo, unawaomba radhi wadau wake wote kwa usumbufu walioupata kuhangaika kuperuzi kwenye blogu bila mafanikio kwa takribani siku nzima, wakati BOSS wa wetu Mkuu akizifanyia maboresho blog zote Duniami.

Sasa kama kawa tumerudi tena kuwaletea mambo motomoto, hivyo naamini mtakuwa mmeuelewa vilivyo ujumbe huu na kuendelea kuipitia mara kwa mara Blogu yenu. Wenu Mtayarishaji Kamanda Mwaikenda. Alamsiki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*