LEO NI LEO TAIFA STARS NA BAFANA BAFANA

Kocha wa Taifa Stars, Jan Poulsen (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana , kuhusu pambano dhidi ya Bafana Bafana ya Afrika Kusini, linalotarajiwa kufanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Kocha Mkuu wa Bafana Bafana, Pitso Mosimane na Kiongozi wa Msafara wa timu hiyo, Moses Tshabalala.

Kocha wa Bafana Bafana, Pitso Mosimane (kushoto) naye akizungumza katika mkutano huo.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*