MAADHIMISHO SIKU YA WAUGUZI DUNIANI

Mwanafunzi Elizabeth Augustino wa Shule ya Sekondari Jamhuri, Dar es Salaam, akijitolea damu wakati wa maadhimisho hayo. Anayemtoa ni muuguzi Jacob Masele kutoka hospitali ya Lugalo.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) akisalimiana na Muuguzi mstaafu, Jito Ramu wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja, Dar es Salaam.



Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) akiwa na baadhi ya wauguzi wakuu wa mikoa nchini wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Mnazi mmoja, Dar es Salaam.






Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) akimkabidhi zawadi mmoja wa wauguzi bora Sophia Sape wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Mnazi mmoja, Dar es Salaam.









Mwanafunzi Elizabeth Augustino wa Shule ya Sekondari Jamhuri, Dar es Salaam, akijitolea damu wakati wa maadhimisho hayo. Anayemtoa ni muuguzi Jacob Masele kutoka hospitali ya Lugalo.








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU