MAMA SALMA AZINDUA VYUMBA VYA MADARASA USHASHI

Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi Marko Nyankena wakati wa hafla hiyo. (PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI)


Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpatia begi mwanafunzi Geoffrey Gideon Masige mwenye umri wa miaka 10 anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Ushashi iliyoko wilayani Bunda wakati wa uzinduzi rasmi wa jengo la madarasa lililojengwa kwa hisani ya Twiga Cement.



Nani kama Mama' ndivyo anavyoonekana Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimtengeneza sketi msichana Sinde Bahati anayesoma darasa la 4 katika Shule ya Msingi Ushashi mara baada ya Mama Salma kuzindua rasmi jengo la madarasa katika shule hiyo





Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la madarasa lililojengwa na Kampuni ya Twiga Cement katika Shule ya Msingi Ushashi iliyoko katika Kijiji cha Ligamba kilichoko katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara. Uzinduzi huo ulifanyika jana.






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA