MAZOEZI YA MBWA NOMA

Askari wa kikosi cha mbwa na farasi akipita kuonyesha namna farasi anavyoweza kukimbia kwa kasi jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd.

Mbwa wa raia wakifanya onyesho la namna wanavyoweza kutambua mhalifu jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd. Mbwa hao wamepata mafunzo kutoka kikosi cha mbwa na farasi na wamefuzu. (Picha na Hassan Mndeme).

Polisi Konstebo Simon akimpitisha mbwa wa Polisi (PD) Gilo kwenye vikwazo jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd. Jeshi la Polisi kupitia kikosi chake cha mbwa na farasi linatoa wito kwa raia kupeleka mbwa wao kwa ajili ya mafunzo ili kuwasaidia katika ulinzi wa majumbani kwao bila gharama yeyote. (Picha na Hassan Mndeme).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU