MKULO; WAZOMEEENI WANAOVUMISHA UONGO

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, mjini Dodoma, kukanusha taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe kwenye mkutano wa hadhara mkoani, Mbeya kuwa Serikali imefilisika na inakopa fedha kulipa mishahara wakati si hivyo Serikali imewalipa mishahara wafanyakazi pamoja na wabunge wengi akiwemo Zitto. Kulia ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.