MKUTANO WA G 8 UFARANSA

Kongamano la G8Viongozi wa dunia wanatarajiwa kukutana katika eneo Deauville nchini Ufaransa, kwenye kongamano la mataifa manane yenye utajiri mkubwa zaidi duniani G8.
Mkutano wa leo unatokea wakati kumeibuka mataifa mengine ambayo uchumi wake unakua kwa kasi na kuibua hoja ya ushawishi na umuhimu wa G8.
Hata hivyo wadadisi wamesema matuko ya hivi karibuni hususan harakati za mageuzi ya kidemokrasia katika nchi za Kiarabu na changamoto zinazokumba mradi wa nuklia wa Japan yameshinikiza kundi la mataifa hayo makuu kutoa mwelekeo.
Miongoni mwa ajenda ni kiwango cha kuthibiti taarifa zinazosambazwa kupitia mtandao, pamoja na mabadiliko ya tabia nchi.
Viongozi wa mpito katika nchi za Tunisia na Misri pamoja na Jumuiya ya nchi za Kiarabu wamealikwa ili kujadili mchakato wa kufanikisha utawala wa kidemokrasia katika nchi hizo.
Viongozi wa serikali wa kongamano la G8Mapema mwaka huu watawala wa muda mrefu katika nchi za Misri na Tunisia waling'olewa madarakani kupitia mapinduzi ya kiraia hali iliyochochea maandamano ya raia kudai mageuzi katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati.
Aidha mzozo un

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.