MREMA AIONJESHA JOTO YA JIWE ARUSHA KWA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA

Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Kanda ya Kaskazini, Asalea Kihupi, (kulia), akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya Mkoa wa Arusha kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Dar es Salaam leo. Taarifa hiyo ilikataliwa na kamati hiyo baada ya kuonesha matumizi makubwa ya fedha na kushindwa kukusanya sh. bilioni 1 ambazo zingepunguza utegemezi katika bajeti ya Serikali Kuu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Augustino Mrema na Makamu Mwenyekiti, Iddi Azzan.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA