SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI YAMALIZIKA KWA MAFANIKIO

Rais Jakaya Kikwete akifunga rasmi semina elekezi kwa viongozi na watendaji wakuu wa Serikali, mjini Dodoma leo. Kulia ni Jaji Mkuu, Othman Chande.



Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige akielezea kwa wandishi wa habari mafanikio ya semina hiyo elekezi.






JK na Jaji Mkuu, Othman Chande wakiondoka baada ya semina kumalizika leo mjini Dodoma.





Katibu Mkuu Kiongozi akielezea kwa waandishi wa habari, hatua watakazochuliwa kwa viongozi watakaokiuka maazimio ya semina elekezi.









Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo (kulia), akiwa na Mshauri wa Uchumi wa Rais, wakitoka kwenye ukumbi baada ya semina elekezi kumalizika.











Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA