TBL BINGWA WA MAUZO AFRIKA

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwa katika picha ya pamoja katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora za bia za SABMiller Afrika, ambapo TBL iliibuka washindi wa jumla. Hafla hiyo ilifanyika Afrika Kusini hivi karibuni.

Its Nick Fell, Global Marketing Director, David Minja Marketing Director TBL and Mark Bowman Managing Director SABMiller Africa in the Marketing, Sales and Distribution Annual Conference in J’berg South Africa




Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifurahia kupata tuzo hizo Jijini Joburg Afrika Kusini






Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,baadhi ya tuzo ambazo kampuni hiyo ilipata ilipata nchini Afrika Kusini, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kushoto ni Meneja Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, Reginald Mosha.








Maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwa na tuzo mbalimbali ambazo kampuni hiyo ilipata nchini Afrika Kusini hivi karibuni, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Rasilimali Watu, Steve Kilindo,Meneja Usambazaji Kanda ya Kusini, Reginald Mosha, Mkurugenzi wa Masoko, David Minja na Meneja Miradi Maalum, Emma Oriyo.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*