TBL YAKARABATI WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana (kushoto), akimpa mkono wa pongezi Mhandisi Ujenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), John Malisa, baada ya kupokea juzi jengo la wodi ya kinamama la Hospitali ya Mwananyamala lililofanyiwa ukarabati kwa msaada wa TBL. Meneja Miradi Maalumu wa Kampuni hiyo, Bi. Emma Oriyo na Muuguzi wa Hospitali hiyo, Baraka Kapinga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana (kushoto), akimpa mkono wa pongezi Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi Doris Malulu, baada ya kupokea juzi jengo la wodi ya kinamama la Hospitali ya Mwananyamala lililofanyiwa ukarabati kwa msaada wa TBL. Wengine kulia ni Mhandisi wa TBL, Bw. John Malisa, Meneja Miradi Maalumu wa Kampuni hiyo, Bi. Emma Oriyo na Muuguzi wa Hospitali hiyo, Baraka Kapinga




Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana (wa pili kulia), akitoka kukagua choo cha wodi ya kinamama katika Hospitali ya Mwananyamala kilichofanyiwa ukarabati mkubwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL Bi. Doris Malulu, Meneja Miradi Maalumu wa TBL, Bi. Emma Oriyo na Mhandisi wa wa kampuni hiyo, Bw. John Malisa.Hafla hiyo ya kukabidhi choo na jengo la akinamama ilifanyika juzi hospitalini hapo.




Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana (mbele), akisindikizwa na Mhandisi wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Bw. John Malisa (kulia) kukagua choo cha wodi ya kinamama ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam, kilichokarabatiwa na TBL.Kushoto ni Meneja Miradi Maalum wa TBL, Emma Oriyo. Hafla hiyo ya kukabidhi choo na jengo la akinamama ilifanyika juzi hospitalini








Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana akizungumza na maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kupokea jengo la wodi ya kinamama katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam juzi lililokarabatiwa kwa msaada wa TBL. Kutoka kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Bi. Doris Malulu, Meneja Miradi Maalumu wa TBL, Bi. Emma Oriyo, Muuguzi wa hospitali hiyo, Bi. Baraka Kapinga na Mhandisi John Malisa wa Kampuni hiyo.








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.