TUZO ZA WANAMICHEZO BORA ZAFANA

Makamu wa Rais, Dk. Bilal (katikati) msitari wa mbele) akiwa na wanamichezo bora Tanzania 2010 pamoja na baadhi ya viongozi wa michezo nchini.Kulia kwake ni Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Emmanuel Nchimbi na Mwenyekiti wa baraza la Michezo Tanzania (BMT), Idd Kipingu.Wa pili kulia ni Mweyekiti wa TASWA, Juma Pinto na Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo hizo, Masoud Sanani.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo ya heshima Rais msitaafu Benjamin Mkapa, kwa kuenga uwanja wakati wa awamu yake.





Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Mark Bomani (kushoto) akimkabidhi tuzo ya mwanasoka bora Tanzania 2010, mchezaji wa Taifa Stars na Yanga, Shadrack Nsajigwa. Hafla hiyo ilidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL).











Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabidhi mwanamichezo bora wa jumla Mwanaid Hassan ufunguo wa gari alilozawadiwa baada ya kutwaa tuzo hiyo.










Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*