VINARA KILI MUSIC AWARL WAFANYA KWELI MOSHI

Rapa wa bendi ya Mapacha Watatu, Kharid Chokoraa akigani wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika onyesho la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT, Linah akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.










Waimbaji wa bendi ya Mapacha Watatu, Jose Mara na Kharid Chokoraa (kulia) akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA