VINARA WA KILI MUSIC AWARD WANGARA DODOMA

Msanii Barnaba Elias 'Barnaba' akiimba kwa hisia katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo za Kili mwaka huu, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Msanii Joh Makini ambaye ni mmoja wa wasanii walioshinda tuzo la Kili za Muziki Tanzania 2011, akionesha umahiri wake wakati wa shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.


Wasanii wateule Mwasiti Golden Mbunda 'Salasala'wakifanya vitu vyao katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda Kili za Muziki Tanzania 2011,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma.






Baadhi ya mashabiki wakishangilia kwa furaha wakati Msanii Joh Makini akifanya vitu vyake katika shoo hiyo.







Msanii wa The Orijino Komedi, Mpoki akiimba wimbo wa shangazi katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo za Kili za Muziki Tanzania 2011,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.