Wapenzi wa muziki wakiserebuka wakati bendi ya Mapacha Watatu ikitumbuiza shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Baadhi ya mashabiki wakishangilia kwa furaha wakati Msanii Joh Makini akifanya vitu vyake katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo za Kili mwaka huu, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.



Msanii mteule Juma Mataluma 'Nonya' akitawala jukwaa alipokuwa akitumbuiza wakati wa shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda Kili za Muziki Tanzania 2011,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.







Msanii mlemavu akionesha umahiri wake katika shoo hiyo ya kukata na shoka.





Mwanamuziki Kalala Junior akicheza muziki na mmoja wa mashabiki wakati bendi ya Mapacha Watatu ambayo ni miongoni mwa washindi wa tuzo za Kili za Muziki Tanzania 2011, ikifanya shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.