15 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI LIBYA

SormanMaafisa wa Libya wamesema raia 15- wakiwemo watoto watatu- wameuawa katika shambulio lililofanywa na majeshi ya umoja wa nchi za kujihami za Ulaya NATO kwenye jengo magharibi mwa mji mkuu, Tripoli.
Mwandishi wa BBC aliyechukuliwa na serikali ya Libya kuona eneo hilo kwenye kitongoji cha Sorman alisema jengo hilo lilibomolewa.
Majeshi ya Nato yamesema yanachunguza madai hayo.
Siku ya Jumapili, Nato ilisema kushindwa kufanya kazi kwa silaha huenda ndio iliyosababisha mauaji ya raia katika shambulio la awali mjini Tripoli.
Mhariri wa Mashariki ya Kati wa BBC Jeremy Bowen alipelekwa kuona mabaki ya eneo la makazi ya Khweildy al-Hamidy, mwanachama wa kituo cha mapinduzi ya Libya, ndani ya mtandao wa serikali.
Maafisa wa Libya walimwambia roketi nane zilifanya mashambulio makali kwenye takriban saa 10 au 11 Jumatatu asubuhi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.