ALIYEWAPIGA MAPANGA WAANDISHI WATANO AFUNGWA NJOMBE

Shoto Shaban akisindikizwa rokapu ya Mahakama ya Njombe baada ya kuhukumiwa leo



Mahakama ya wilaya ya Njombe imemfunga jela mwaka mmoja mtuhumiwa wa kesi namba 223 ya mwaka 2009 Bw. Shoto Shaban ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kuwapiga wanahabari watano kwa mapanga juni 16 mwaka 2009 walipokwenda kufuatilia sakata la kufungwa kwa kiwanda cha Chai Lupembe
Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya kesi hiyo kukaa mahakamani kwa takribani miezi 23 toka ilipoanza kusikilizwa mbele ya hakimu Abeididom Chanjarika wa mahakama ya wilaya ya Njombe na Mei 30 mwaka huu ndio ilikuwa ni siku ya mwisho kwa mashahidi kutoa ushahidi wao .
Wahabari waliotendwa unyama huo wa kukatwa mapanga ni pamoja na Dotto Mwaibale (Jambo leo), Betty Kagonga (Tanzania Daima) Mussa Mkama (mwananchi) Calros Mtoya (majira) na mpiga picha wa kujitegemea Peter Mtitu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA