CHIPUKIZI BURUNDI ASHIRIKI MICHUANO YA TENNIS YA WIMBLEDON



Hassan Ndayishimiye (pichani) aandikisha historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza wa tennis kutoka Burundi kucheza Wimbledon


Mchezaji tennis chipukizi kutoka Burundi, Hassan Ndayishimie, leo amefanikiwa kuandikisha historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kutoka taifa hilo kushiriki katika mashindano ya Wimbledon.
Lakini Ndayishimiye sio tu alionyesha nia ya kushiriki, bali aliweza pia kumshinda mpinzani wake Matias Sborowitz kutoka Uchina.,
Ameandikisha historia WimbledonAlipata ushindi wa 6-6 6-4.
Ndayishimiye alishiriki katika pambano la vijana wa umri mdogo la mchezaji mmoja kwa mmoja, yaani singles.
Kati ya mapambano mengine ambayo yalitazamiwa katika uwanja wa 17 wa Wimbledon ni pambano la mchezaji mwingine pia kutoka Afrika, Ons Jabeur, ambaye ni raia wa Tunisia, na aliyetazamiwa kucheza na Risa Ozaki kutoka Japan.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI