DK BILAL AKUTANA NA DK. MIGIRO MAREKANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa nne kulia), mkewe Mama Zakhia Bilal (wa tatu kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha Rose Migiro (wa nne kulia) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (wa pili kulia) na mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lediana Mng’ong’o (kulia). Kutoka (kushoto) ni Balozi wa Tanzania wa Umoja wa Mataifa, Ombeni Sefue, Naibu Waziri wa Afya , Sawere Nkya, Waziri wa Afya wa SMZ, Juma Duni Haji na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais SMZ, Fatma Fereji, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo baina ya Makamu wa Rais na Naibu Katibu Mkuu jana Juni 10, 2011, New York. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro, wakati katibu huyo alipomtembelea hotelini alikofikia jijini New York, jana Juni 10, 2011 na kufanya mazungumzo.Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.