DK KASSIM APATA JIKO MWANANA MAGDALENA

Maharusi Dk. Mussa Kassim na Magdalena Haule wakiwa ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo Aghakan, Dar es Salaam, wakivinjari baada ya kufunga pingu za maisha hivi karibuni nyumbani kwa Bibi harusi, Kurasini, Dar es Salaam na kufuatiwa na sherehe kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)





Maharusi wakiwa na wapambe wao walipokwenda kuvinjari kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Aghakan, Dar es Salaam.





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.