Fundi Omar Mokiwa wa Idara ya Ujenzi ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), akipanga vizuri mabati yenye bei nafuu yanayotengenezwa na mashine maalumu aina ya Ultimate Building Machine (UBM-120), katika banda la JWTZ kwenye maonesho hayo. Mashine hiyo hutengeneza mabati yanayoweza kuezekea paa na kujengea nyumba bada la ya matofali.

Ofisa Uhusiano wa ARPM, Hassan Abbas (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali alipokuwa akiwawaeleza wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika maadhimisho hayo.



Ofisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Tagie Mwakawago akionesha picha za mawaziri waliowahi ongoza wizara hiyo tangu Uhuru hadi sasa, zilizopambwa kwenye banda la wizara hiyo katika maadhimisho hayo.







Watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini, wakiwa wamejipanga tayari kutoa maelezo kwa wananchi kuhusu majukumu mbalimbali ya wizara hiyo jana katika maadhimisho hayo.







Watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini, wakiwa wamejipanga tayari kutoa maelezo kwa wananchi kuhusu majukumu mbalimbali ya wizara hiyo jana katika maadhimisho hayo.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*