JK APOKEA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea rasmi Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mheshiwa Jaji Lewis Makame huko Ikulu tarehe 10.6.2011.

Rais Jakaya Kikwete akiongea na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mara tu baada ya kupokea taarifa ya Tume hiyo kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Lewis Makame huko Ikulu tarehe 10.6.2011 PICHA NA JOHN LUKUWI



Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mheshimiwa Eamon Gilmore T.D. wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais Kikwete huko Ikulu tarehe 10.6.2011.





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.