KASHEHE MKUTANO WA TLP, IDARA YA HABARI MAELEZO

Ofisa Habari Mwndamizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Joseph Ishengoma (katikati) akituliza vurugu zilizosababishwa na baadhi ya wanachama wa TLP waliosambaza kwa waandishi wa habari,taarifa inayodaiwa kuwa ya uongo iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Tao ya kumtetea Mwenyekiti wa Taifa wa TLP, Augustino Mrema katika sakata linaloendelea ndani ya chama hicho.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Hamad Tao, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kukanusha tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Mwenyekiti wake Augustino Mrema kuwa yeye ni mmoja wa watu waliosababisha kufanya vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu wa Nchi mwaka. Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Katibu Mwenezi wa TLP, Mkoa wa Iringa, Branka Haule.



Ishengoma akiwakaripia baadhi ya wanachama waliosababisha vurugu.






Wanachama wa TLP, waliosababisha mtafaruku ndani ya mkutano huo, wakiondoka kwa furaha baada ya kufukwa katika mkutano huo. Hata hivyo kabla ya kutoka nje waliwekwa chini ya ulinzi wa Polisi na kupelekwa KituoKikuu cha Pilisi kufunguliwa mashitaka ya tuhuma za kuingia Maelezo bila kibali na kufanya vurugu.






Ishengoma akimruhusu Tao kuendelea na mkutano









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.