Kikundi cha Machozi wakitumbuiza wakati wa Kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira (kulia) akimsalimia Katibu Mkuu Kiongozi msitaafu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Timoth Apiyo walipokutana katika kilele cha maadhimisho ya ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Katikati ni John Rupia ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi msitaafu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)





Mwigizaji maarufu, Al Watani Small wa Ngamba akifanya vitu vyake wakati wa kilele hicho





Kikundi cha machozi kutoka Temeke, Dar kikitumbuiza wakati wa kilele hicho







Baadhi ya washiriki wakiwa katika kilele hicho










Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.