KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo wakipiga makofi wakati wa kuyapokea maandamano ya watumishi kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika wakati wa kilele hicho.

Watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiandamana wakati wa kilele hicho.




Watumishi kutoka wizara mbalimbali wakiandamana wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.




Watumishi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), ambao ni washindi wa kimataifa wa maadhimisho hayo, wakiandamana katika kilele hicho.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.