KIZAZAA CHA MOTO BENKI YA NBC DAR

Gari la zimamoto likiingia kusaidia kuzima moto uliozuka leo asubuhi katika Benki ya NBC, makutano ya mitaa ya Sokoine na Azikiwe, Dar es Salaam


Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto cha Kampuni binafsi ya Ultmate
wakizima moto uliotokea katika chumba kimoja cha Benki ya NBC
Makao Makuu ya Benki hiyo Mtaa wa Sokoine, Dar es Salaam



Baadhi ya wahudumu wa benki hiyo wakiwa nje huku wamejishika
tama wakati chumba cha benki hiyo kikiungua




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.