KONGAMANO LA WADAU WA KUPAMBANA NA RUSHWA

Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akifungua kongamano la mwaka la wadau wa kuzuia na kupambana na rushwa, leo kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Peal, Ubungo Plaza mjini Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Dk. Edward Hosea na wapili kulia ni Mwakilishi wa benki ya ADB, Godfrey Kaijage.

Baadhi ya washiriki ambao ni watendaji wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Chikawe na Dk. Hosea

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA